Monday, September 22, 2008

JE? HII NI KWELI?



Yapo mateso ya aina nyingi ambayo anaweza kupata mtu utotoni ikiwa ni pamoja na kulazimishwa kufanya kazi nyingi kupita kiasi. Manyanyaso mfano njaa, kukosa mazingira ya usalama, kupigwa kikatili mara kwa mara na kubakwa utotoni kunawaathiri watu kisaikolojia. Watoto wanahitaji kulelewa katika mazingira ya usalama, wapewe nafasi ya kupata elimu nzuri, na wapate muda wa kucheza na kufurahia utoto wao. Watoto kucheza si jambo la anasa bali ni njia mojawapo muhimu ya kuboresha afya ya akili

1 comment:

Anonymous said...

kucheza sawa,elimu sawa lakini elimu ya namna gani? au elimu ya kukaa na kuangalia video? ni elimu gani kwani mimi naamini kwamba kifalsafa maisha ni elimu lakini siyo kwamba elimu ni ufunguo wa maisha. mnasemaje nipeni hoja zetu niwape dili. someni kitabu cha Jean Jacques Rouseau kuhusu elimua ya asili/kuelimishwa kutokana na mazingira. kazi kwenu wadau dada yetu kaweka hoja mezani