Friday, April 24, 2009

TUMALIZE IJUMAA YA MWISHO YA MWEZI HUU KWA KUSIKILIZA KIPANDE HIKI

7 comments:

Mzee wa Changamoto said...

Wow! Kipande mwanana kwa mwanzo wa wiki.
Ijumaa njema Dada

Yasinta Ngonyani said...

Asante sana Ijumaa njema nawe pia

Mzee wa Changamoto said...

Hivi nilisema mwanzo wa wiki? Duh!! Nilimaanisha mwanzo wa mwisho wa wiki. Ama niseme kibao mwanana cha kumalizia wiki.
Lol

Mwanasosholojia said...

Ahsante dada Yasinta na baraza la MAISHA kwa kibao hiki, kimenikosha sana!

Anonymous said...

Wow!!!burudani tosha kabisa dada tunashukuru sana wa kukiweka.Tunakutakia ijumaa njema pamoja na family yako.

Fadhy Mtanga said...

Mwisho wa wiki ukiwa namna hii, halafu upo kwenye kijibaridi cha Mbeya unakula nyama na ndizi choma.

Ivo Serenthà said...

Hello,Yasinta

I have always been impressed of your tradition, simplicity and joy of living, the sense of music and dance.

I love you and I embrace you all

Marlow