Sunday, July 25, 2010

Barua fupi kwa wasomaji wa blog ya Maisha na Mafanikio!!

Nipo likizo jamani!!

Nina furaha kuandika waraka huu na kuwataarifu ya kwamba nitakuwa nimeadimika adimika. Katika ulimwengu huu kila mtu anahihitaji mapunziko. Kwa hiyo mama Maisha na Mafanikio amepata liki kikazi na atakuwa likizo akiambatana na familia yake.
Na nimeona ni vema niwaage nitajaribu kupitapita pale nipatapo wasaa. Nawatakieni wote kila la kheri kwa lolotw mtakalotenda na tukutane panapo majaliwa.
TUTAONANA BAADA YA MUDA SI MREFU....KAPULYA aka Yasinta na pia NAWATAKIENI JUMAPILI NJEMA !!!

21 comments:

Subi Nukta said...

Nakutakia mapumziko mema wewe pamoja na familia!

EDNA said...

mapumziko mema pamoja na familia yako,mimi nishaanza kukumiss tayari.

PASSION4FASHION.TZ said...

Mapumziko mema na familia kwa jumla,ila tutakumiss sana KAPULYA....LOL

Unknown said...

Mapumziko mema dada Yas. Tunakusubiri kwa hamu na kaa salama huko uliko.

chib said...

Likizo njema

Simon Kitururu said...

Likizo njema Kapulya!

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Likizo njema pia kwako na familia yako

Blackmannen said...

Vekesheni njema wewe na familiya, nadhani hutasau kuchukua kamera yako ili uje utuonyeshe mistarehe uliyokuwa ukiitumbua likizoni, tutakumiss sana!

This Is Black=Blackmannen

Fadhy Mtanga said...

Likizo njema da Yasinta. Mungu awe nawe daima.

emu-three said...

Twakutakia mapumziko mema na familia yako. Tunachokuomba usi-over do, ukasahau kurudi mpema hahaha...ni utani tu

Albert Kissima said...

Kila lenye kheri mama wa Maisha na Mafanikio.

John Mwaipopo said...

usisahau kutuletea banzoka

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

furahia likizo yako na twakusubiria hapa hapa kijiweni...!!!

Kila la kheri!

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

furahia likizo yako na twakusubiria hapa hapa kijiweni...!!!

Kila la kheri!

Mija Shija Sayi said...

Likizo njema Yasinta, umependeza sana.

Koero Mkundi said...

LIKIZO NJEMA DADA, KARIBU DAR....

Anonymous said...

Asante kwa kutuhabarisha na kutuelimisha. Kwa kweli tutakukosa kwa kipindi uwapo likizo.

Safari njema na mapumziko mema, na Mungu akurudishe salama ukiwa na afya tele ya Mwili na Roho.

MARKUS MPANGALA said...

MUNGU AWE NAWE DAIMA

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

usikose kuludi na hadithi tamu, ne?

mumyhery said...

nakutakia kila yalo mema kwenye likizo yako furaha tele kwako na familia kwa ujumla

Yasinta Ngonyani said...

Ahsanteni wote kwa kunitakia likizo njema.