Friday, July 16, 2010

HATIMAYE JANA NIMESUKWA TENA BAADA YA MIEZI SITA, KAAZI KWELIKWELI!!

Mtaka cha uvungoni sharti ainame

Masaa sita na nusu baadaye nilikuwa hivi. Kuchoka pia :-)
Ijumaa njema tutaonana wakati mwingine!!!!!!!


17 comments:

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

mmmh!

Mbali na kuchoka inaonekana pia umeshiba sana....lol!

mumyhery said...

Pole sana, lakini umependeza

Israel Saria said...

Mhh wish mimi ndio ningekuwa huo mto...........

Anonymous said...

HATIMAYEjJANA....

MTAKA CHA UVUNGONI....

Sipendi kabisa!!!!!!!!!!!!

Yasinta Ngonyani said...

Usiye na jina unaweza kutuambia kwa nini hupendi kabisa haya mmaneno.

HATIMAYEjJANA....

MTAKA CHA UVUNGONI....

Sipendi kabisa!!!!!!!!!!!!

Simon Kitururu said...

Mtoto Mzuri umependeza!

Cheka basi halafu WAKATI UNAFANIKISHA TABASAMU rudia picha ya chini .....:-(

Wikiendi njema Dada Yasinta!

Fadhy Mtanga said...

Ila kusema cha ukweli umetoka boooombi kweli. Sisemi sana ntamkwaza mama mkwe bure nikose mwana na maji ya moto.

Na Mpangala said...

upenzindi mlongo wangu na wewe weekend njema na watoto

Unknown said...

Umependeza sana dada yangu. Masaa sita yanachosha sana eeh.. Ila ndiyo hivyo tena mtaka cha uvunguni... Wiki endi njema wewe na familia pia...

Koero Mkundi said...

Una kazi dada, yote hiyo ni kutaka tusikupore huyo mumeo!

MARKUS MPANGALA said...

aaaaahhh kweli unidagadisi mweeeee

Mija Shija Sayi said...

Mwanamitindo utamjua tu! Pamoja na kuchoka lakini bado upo katika pozi matata kwenye hiyo picha ya chini.

Nami nasubiri jibu la asiye na jina.

Blackmannen said...

Ni wikiendi njema kikweli kweli maana tarehe 18 Julai ni siku ya Mandela na Blackmannen, ni siku yetu ya kuzaliwa ijapokuwa umri wetu ni tofauti.

Duh! Lakini dada Yasinta, msusi wako ningependa anisuke na mimi mtindo wa "Mtakatifu Saimon". Kwa jinsi uso wake unavyovutia. Kumbe kuna wasusi wazuri duniani.

It's Great To Be Black=Blackmannen

EDNA said...

umependeza mwenyewe,ila masaa sita ulikiona cha moto mie masaa mawili tu huwa nakuwa hoiiiii.

John Mwaipopo said...

ukitaka uzuri shurti udhurike

John Mwaipopo said...

ukitaka uzuri shurti udhurike

Penina Simon said...

umependeza shost