Tuesday, July 13, 2010

Warembo wa wiki hii:- Je? unaona nini katika picha hizi? sijui hawa ni mapacha?:-)

Hivi huyu yupo wapi na ni nani?
Na huyu pia sijui ni nani ila kuna kitu hawawatu wanafanana au? Je ni kipi ambacho hawajafanana?

12 comments:

Anonymous said...

Na mimi nimeona wote mlivaa nguo Nyeusi mkaachia nywele mkapiga goti mkalishika lakini wa kwanza ni Dada Yasinta yuko sweeden na Dada Judith (JayDee)alikuwa Nairobi ,Kenya katka kurekodi Music na Kidumu

Mija Shija Sayi said...

Mmefanana mapozi na wote mko mahali penye nafasi. Safi sana, ongeza swali da Yasinta kipi ambacho hamjafanana?

PASSION4FASHION.TZ said...

Mimi naona kama nikufananisha vitu mlivyofanana ni vingi sana,mpaka mapozi ya kwenye picha,sasa sijui kuna kilichojificha ungependa watu wakiseme....au tukupe mji?

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

aisee!

Anonymous said...

huyu juu ni yasinta,hapa alipo ni kwenye ufukwe ziwani,na huyu chini ni manka,hii picha imepigwa kwenye uwanda wa juu.
kitu wanachofanana hapa ni magauni yao ya misiba tu

Unknown said...

chukua mji basi, Songea... Tueleze zaidi. Mmependeza hapa, hilo ziwa ni ziwa Nyasa au?

chib said...

Mimi naangalia zaidi ya hizo picha....Hamjafanana kimtazamo wa maisha na mafanikio.

Lulu said...

Mmefanana magauni mapozi na background za picha zenu wote ni kijani flani hivi. Ila sijajua mmefanana anga gani zaidi hebu tuambie we waona mwafanana nini

emuthree said...

Mumefanana kisanaa na nahisi nyote mumeitakidi kuwa Afrika mbele, kwa muonekano. Na ni vyema wengi wakaiga kuwa ukienda majuu weka u-frica wako mbele, manake ukijibadili eti ufanane na wao, bado ngozi yako itakusaliti.

Yasinta Ngonyani said...

Ni kwamba sisi wote ni waTanzania. Halafu Judith ni mwimbaji na sio mimi.

Christian Bwaya said...

Safi sana Yasinta. Unapendeza mno!

Matha Malima said...

Habari za kazi dada yasinta.Sikugundua ya kwamba kama na wewe unapozi kiasi hicho umependeza sana naona kibichi zaidi.Hata j/dee kapendeza sana .kwakweli mmetoka mchicha sana