Sunday, May 8, 2011

NAWATAKIENI JUMAPILI NJEMA WOTE!!!!



Mwka juzi nilipokuwa nyumbani kila jumapili nilikuwa nausikia wimbo huu na nikaupenda sana. Nikafanya jitihada kuutafuta na sikuupata na leo nimeupata nimefurahi sana . NAWATAKIENI JUMAPILI NJEMA SANA KWA WIMBO HUU....
JUMAPILI NJEMA WOTE!!!

3 comments:

Albert Kissima said...

Nashukuru dada Yasinta, jumapili njema kwako kwa familia pia. Happy Mothers' day.

EDNA said...

Kwako pia Da Yasinta.

Raymond Mkandawile said...

Ujumbe mzuri sana dada Yasinta....nimeupenda sana pia...Mungu na akubariki sana.