Thursday, January 5, 2017

LEO NI SIKU/TAREHE YANGU YA KUZALIWA

Leo ni tarehe/siku ambayo familia ya Mzee Ngonyani ilikuwa na furaha kumpatabinti yao ambaye alizaliwa siku hii ya leo. Na leo ameongeza mwaka tena na kuzidi kuzeeka. Lakini hata hivyo anapenda kuwashirikisha ndugu, jamaa na marafiki kwa siku hii ili tumsaidie kusherekea. Na wote manakaribishwa..sana. NAWATAKIENI  wengine wote  wanaotimiza miaka leo pia mwezi huu wa januari. SIKU NA WAKATI MWEMA. WOTE MNAPENDWA SANA ...KAPULYA Nachukua nafasi hii  kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunilinda salama .

11 comments:

Anonymous said...

Hongera da Yasinta kwa siku yako ya kuzaliwa na Mwenyezi Mungu akuzidishie miaka mingi ya furaha na amani Inshaallah. By Salumu.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Salumu ahsante sana.

Mbele said...

Hongera dada Yasinta. Ubarikiwe daima.

Yasinta Ngonyani said...

Ndugu yangu Mbele ..ahsante sana. Nawe ubarikiwe sana.

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Dada nakuombea ule chumvi hadi igeuke sukari. Piga zaidi ya mia kama mama yake John McCain ambeye ana zaidi ya mia.

Yasinta Ngonyani said...

Eeehh kaka Mhango. ..ahsante sana ila nikigikua hiyo miska mia itabidi uje kunitunza...

Unknown said...

Hongera Dada

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante Sapy...na karibu sana...

Rachel Siwa said...

Sijachelewa mwezi haujapita dada
Mungu aendelee kukulinda na kukubariki katika yote dada wa mimi na familia yako.Akupe sawasawa na mapenzi yake
kheri ya kumbukumbu ya kuzaliwa Kadala wa mimi..
Nakupenda muuuunooo na wewe unajua hivyo.

Yasinta Ngonyani said...

Kachiki wa mimi... upo sahihi kabisa mwezi haujaisha na Hongera pia maombi yako yamepokelewa. Ndiyo najuwa unanipenda muno nami muno zaidi...

GUSTAPH MAPUNDA said...

HBD