Thursday, June 8, 2017

KARIBUNI CHAI NA MBATATA/VIAZI VITAMU...

Nimeona nisiwe mchoyo karibuni tujumuike kwa mlo huu maalumu na mtamu pia mzito. Binafsi napenda zaidi mlo kama huu kuliko CHAI MIKATE (MABOFULA) ambayo ukila tu dakika kadhaa ni bonge la njaa tena. Halafu angalia viazi vilivyopikwa na maganda yake..Mmmmhhh ngoja niache maelezo na wengine waseme:-)  PANAPO MAJALIWA!

2 comments:

emu-three said...

Shukurani, hapo ndio penyewe, viazi na maganda yake, inapendeza sana...Hongera ndugu wangu.

Yasinta Ngonyani said...

Ndugu wangu emu-three ww acha tu...halafu sasa viwe vile venye unga unga....